ITV Dakika 45: Nimemsikiliza Hashimu Rungwe yupo vema zaidi ya Lissu na Mbowe

Kwanini na mumeo asiende kuzungumza?
 
Kwa nini iwe Mbowe na Lissu tu na wala asiwe Joe Biden na Putin?Unani na hao watu?
 
Kwanini chadema mnakrashi kila zuri linalofanywa na chaumma wakati ni swahiba wenu kwani uongo upi aliosema mzee au mlitaka aseme lissu au mbowe acheni chuki bhana
 
Toka huko ccm mfuate Rungwe kwenye chama chake
 
Hatushangai awamu ya tano nyie adui yenu no 1 nchini alikua CDM!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…