ITV futeni kipindi cha Malumbano ya Hoja, hakina manufaa kwa jamii

ITV futeni kipindi cha Malumbano ya Hoja, hakina manufaa kwa jamii

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,583
Reaction score
42,992
Hiki kipindi nashauri ITV katika kipindi hiki ambácho uhuru wa maoni umefungwa hata kipindi hiki Cha muda huu kilichoko online hakina maana.
 
Mdahalo huu wa chombo kikubwa Cha kitaifa kama itv ukiuweka mubashara na shule ya feza yenye kulindwa na uhuru wa habari hii ITV ni takataka.
 
KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA kinaharibu brand ya ITV.
 
Wachamgiaji kwanza wana patikana vip? ITV ilikuwa zaman sio now
 
Back
Top Bottom