ITV hawapewi Taarifa za mechi za Yanga

ITV hawapewi Taarifa za mechi za Yanga

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Nimesikitika kuona TV yetu ya TAIFA ITV hawajarusha habari kuhusina na matokeo ya Mechi ya Yanga.

ITV ndiyo kituo kikubwa cha kurusha matangazo nchini ni ukweli ambao nashindwa kuupinga. Nashindwa kuelewa kwa nini waandishi wake wanashindwa kupata matokeo ya mechi za yanga?
 
Hemed Kivuyo, Katanga na wenzake wote ni Yanga damu, wakishinda utawaona wanavyotoka povu kwa mashairi ya wakina Sitti bin Saad na Shaban Robert.
Hata mechi za Simba wanarusha zile za kufungwa au sare ila Simba ikishinda wapo tayari warushe habari za netball au za ligi ya Zanzibar moja tu then wanakamilisha taarifa za michezo.
Nimewafuaatilia sana mpaka sasa hivi wakimaliza taarifa za kitaifa niko radhi niweke filamu au komedi...
 
Kumbe ndo sababu? Kivuyo mwenyewe hata mashairi hayafaham ni huwa namwona ndo kwanza anaharibu kiswahili badala ya kukikuza.nliwah kumwuliza lahaja ya kiswahili anayoongea ni ya wapi akashndwa kujieleza zaid ya kusema ni ubunifu.

Hemed Kivuyo, Katanga na wenzake wote ni Yanga damu, wakishinda utawaona wanavyotoka povu kwa mashairi ya wakina Sitti bin Saad na Shaban Robert.
Hata mechi za Simba wanarusha zile za kufungwa au sare ila Simba ikishinda wapo tayari warushe habari za netball au za ligi ya Zanzibar moja tu then wanakamilisha taarifa za michezo.
Nimewafuaatilia sana mpaka sasa hivi wakimaliza taarifa za kitaifa niko radhi niweke filamu au komedi...
 
Hemed Kivuyo, Katanga na wenzake wote ni Yanga damu, wakishinda utawaona wanavyotoka povu kwa mashairi ya wakina Sitti bin Saad na Shaban Robert.
Hata mechi za Simba wanarusha zile za kufungwa au sare ila Simba ikishinda wapo tayari warushe habari za netball au za ligi ya Zanzibar moja tu then wanakamilisha taarifa za michezo.
Nimewafuaatilia sana mpaka sasa hivi wakimaliza taarifa za kitaifa niko radhi niweke filamu au komedi...
Kumbe ndio sababu, yani jana nimesubiri weee lakini wapi, nikajiuliza hawakupata matokeo mpaka muda ule wanakwenda hewani, sio kwel, haiezekan,
 
Siku yanga akipigwa ndo kwanza utasikia bingwa wa mchezo wa bao wa kata ya ikwiriri amewasihi vijana wapende mchezo huo ili utufikishe mbali kimataifa
 
Kweli kabisa mkuu, chura akifungwa I.T.V hawaitangazi hio habari kabisa!!!
 
Subirini jmosi mnyolewe mje na malalamiko yenu pendwa... Refa ameharibu mpira
 
Back
Top Bottom