Hemed Kivuyo, Katanga na wenzake wote ni Yanga damu, wakishinda utawaona wanavyotoka povu kwa mashairi ya wakina Sitti bin Saad na Shaban Robert.
Hata mechi za Simba wanarusha zile za kufungwa au sare ila Simba ikishinda wapo tayari warushe habari za netball au za ligi ya Zanzibar moja tu then wanakamilisha taarifa za michezo.
Nimewafuaatilia sana mpaka sasa hivi wakimaliza taarifa za kitaifa niko radhi niweke filamu au komedi...
Kumbe ndio sababu, yani jana nimesubiri weee lakini wapi, nikajiuliza hawakupata matokeo mpaka muda ule wanakwenda hewani, sio kwel, haiezekan,Hemed Kivuyo, Katanga na wenzake wote ni Yanga damu, wakishinda utawaona wanavyotoka povu kwa mashairi ya wakina Sitti bin Saad na Shaban Robert.