ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

Wewe unaitwa Rino Lenzi?

Ukisikiliza Radio One mpaka kesho mida ya mchana hua wanapiga Jingle ya hio tamthlia, kila tamthlia inapoanza Jamaa Lino alikua anatembea kwenye bonge moja la PikiPiki amejitanua alafu kuna kale kajingle kanapiga, alikua mbabe kwenye ile tamthlia, uki Google haiji maana ni ya zamani, sijajua kwa nini

Nilijaribu kufatilia
Ni Reno Raines
Jina la series ni Renegade

Jumatano ITV kuna kipindi cha Rastrus, Cha Reggae hicho. Mwendesha kipindi Misanya Bingi

Intro ni No woman no cry ya mzee Bob
Acha bwana.
 
Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.

Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.

Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.

Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V

Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola

Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.

Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.

Wenye kuijua ITV vizuri

[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Mpira wa miguu wa nje bila malipo wakijiunga na CFI channel
 
Seki bwana yupo wapi?

Kile kipindi chake cha mtaani mara kala miwa ya barabarani, mara kahoji watu chanzo cha jina la mtaa wa KAWE kumbe ni - Cow Way

Mara kahoji madeni wakaleee wa Jangwani..

Nipo Kijijini kwa mwenyekiti wa kijiji ndo mwenye Tv nasema moyoni huko Dsm ni Mbingu nyingine sijui kama nitakuja kufika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wapi alipo SEKI wa chanel 5
Dr. Roy Maganga wa R.F.A
Mtoto wa Mama Sabuni wa R.F.A
Seki yupo wasafi sasa hivi kwenye kipindi cha mgahawa na baba levo, kile kipindi chake chanel 5 nadhani kilikua kinaitwa city sound
 
Back
Top Bottom