musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Kipindi kinaendelea sasa ukiwa makini unaona kabisa hawa wazee wanafanya maigizo na ITV kupitia kipindi Chao cha kipima joto
Vituko yaani mpaka wanaopiga simu unatambua wamepangwa🤣😂🤣😂😁😁😂Nakiangalia Sasa Hivi
Wapiga simu wababaifu kweli kweliVituko yaani mpaka wanaopiga simu unatambua wamepangwa