ITV kipima joto leo wana agenda ya siri!

ITV kipima joto leo wana agenda ya siri!

Hivi watu wanaaply wapi kwenda kwenye kipima joto...
 
Sio wote. Mbona Deus hakutetea,. pia sikupenda wao kumshambulia mzee Warioba. Wengi kama tuliwasikiliza waliongelea udhaifu wa dhana ya serikali tatu, lakini wakasema bora iwe serikali moja, endapo wazenj wakiona tabu basi muungano ufumuliwe.
Ni kamishana wa tume tu ndie alietetea mapendekezo ya tume ila wengine wote wako against na serikali 3.

Kuanzia leo sitakuwa na imani na hiki kipindi.
 
Pro-Chadema kila kukicha na malalamiko leo tena ITV wamekuwa wabaya.

Ubaya wa leo hauwezi bebwa na uzuri wa zamani.... Yaani wewe utaharibie halafu uachwe kwa vile tu ulishawahi kuwa mwema siku za nyuma... Kwa imani hiyo, magerezani kusingekuwa na wafungwa, hawakuzaliwa na makosa yaliyowapeleka huko, hence walikuwa wema kabla.

By the way, wazo la selikari tatu ni la Tume, Ni la Warioba au ni la wananchi walio wengi..??? Hivi Warioba si alitoa saababu kwa nini wananchi wanataka selikari tatu...?? Kwa nini msitoe hoja za kupinga hoja zilizokusanywa na tume toka kwa wananchi..??

Kweli kununuliawa kunahitaji uwe na akili ya mwendawazimu, ni kama kutetea ujinga
 
Back
Top Bottom