STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 837
- 672
naangali itv mwandishi anaripoti polisi maswa mashariki wanamshikilia mtu mmoja aliyekutwa kapiga kura tatu za uraisi,3 ubunge,3udiwani ambazo amekamatwa nazo. Baada ya kuhojiwa amesema walifundishwa kuwapa ishara ya vidole vitatu wasimamiz ili wapewe fomu tatu tatu. Alizobambwa nazo zimetikiwa mgombea wa ccm. Itv wanaidiscuss hii ishu. Kazi tunayo.
Alipewa karatasi 3 ata per mawakala walikuwa wapi?
Hata kama tunasema CCm wanafanya usifadi lakini huu ni ujinga wa mawakala wa vyama vya upinzani. Hivi wakati tukio hili linafanyika, wote walikuwa wametumwa kununua soda kama alivyosema JK????????????????.
naangali itv mwandishi anaripoti polisi maswa mashariki wanamshikilia mtu mmoja aliyekutwa kapiga kura tatu za uraisi,3 ubunge,3udiwani ambazo amekamatwa nazo. Baada ya kuhojiwa amesema walifundishwa kuwapa ishara ya vidole vitatu wasimamiz ili wapewe fomu tatu tatu. Alizobambwa nazo zimetikiwa mgombea wa ccm. Itv wanaidiscuss hii ishu. Kazi tunayo.
nimepata dhambi ya kutukana kimoyomoyo,hasira jamani inaudhi.
wanangangania nini hatuwatakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
nasikia wanatoa ishara za kifreemasons msimamizi anampa 6 za raisi nazingine kweli huu uchakachuaji kiboko