Elections 2010 ITV Live: CCM wapiga kura 9 mtu mmoja - Maswa Mashariki

Elections 2010 ITV Live: CCM wapiga kura 9 mtu mmoja - Maswa Mashariki

STREET SMART

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
837
Reaction score
672
naangali itv mwandishi anaripoti polisi maswa mashariki wanamshikilia mtu mmoja aliyekutwa kapiga kura tatu za uraisi,3 ubunge,3udiwani ambazo amekamatwa nazo. Baada ya kuhojiwa amesema walifundishwa kuwapa ishara ya vidole vitatu wasimamiz ili wapewe fomu tatu tatu. Alizobambwa nazo zimetikiwa mgombea wa ccm. Itv wanaidiscuss hii ishu. Kazi tunayo.
 
Bravo ITV!!

Dunia inaona.

Mungu atatoa hukumu.
 
We knew that CCM watachakachua tu...Haya wapenda ccm jitokezeni sasa mtuambie hapo!
 
Yaani hawa jamaa kila mwaka wanakuja na style yake ya kuchakachua. Jamani mafisadi achana nao kabisa. Lakini mwaka huu imekula kwao
 
Alipewa karatasi 3 ata per mawakala walikuwa wapi?
 
Mchezo huu mchafu wa CCM usipoangaliwa kwa umakini utatuletea viongozi tusiowahitaji. CCM ndio wachokozi siku zote na hii itakuja kuleta maafa makubwa kama hawatadhibitiwa mapema.
 
ssue hiyo kituo cha kwanza kabisa kuripoti ni Chanel Ten lakini haikupewa kipaumbele kabisa baada ya kuonekana zzimepigiwa kura CCM. Anyway nadhani vyombo vya habari vitatujuza zaidi.
 
Mawakala wa CHADEMA, CUF, SAU etc walikuwa wapi wakati tendo hili likifanyika??? Karatasi zile hauwezi kuzichana kwa mkupuo tatu. Na zinapochanwa inakunjwa moja moja mbele ya mawakala! Hata kama tunasema CCm wanafanya usifadi lakini huu ni ujinga wa mawakala wa vyama vya upinzani. Hivi wakati tukio hili linafanyika, wote walikuwa wametumwa kununua soda kama alivyosema JK????????????????.
 
nasikia wanatoa ishara za kifreemasons msimamizi anampa 6 za raisi nazingine kweli huu uchakachuaji kiboko
 
Hata kama tunasema CCm wanafanya usifadi lakini huu ni ujinga wa mawakala wa vyama vya upinzani. Hivi wakati tukio hili linafanyika, wote walikuwa wametumwa kununua soda kama alivyosema JK????????????????.

Kuna vituo vilikuwa na wakala wa CCM tu. YEYE PEKE YAKE. CHADEMA got it coming....
 
naangali itv mwandishi anaripoti polisi maswa mashariki wanamshikilia mtu mmoja aliyekutwa kapiga kura tatu za uraisi,3 ubunge,3udiwani ambazo amekamatwa nazo. Baada ya kuhojiwa amesema walifundishwa kuwapa ishara ya vidole vitatu wasimamiz ili wapewe fomu tatu tatu. Alizobambwa nazo zimetikiwa mgombea wa ccm. Itv wanaidiscuss hii ishu. Kazi tunayo.

nimepata dhambi ya kutukana kimoyomoyo,hasira jamani inaudhi.
wanangangania nini hatuwatakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
nimepata dhambi ya kutukana kimoyomoyo,hasira jamani inaudhi.
wanangangania nini hatuwatakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Kama bwana YESU ndio mwamba wako hupaswi kutukana hata kama ni KIMOYOMOYO!!
 
nasikia wanatoa ishara za kifreemasons msimamizi anampa 6 za raisi nazingine kweli huu uchakachuaji kiboko

jamani harafu bia za leo tamu!, maana nagida mpaka kieleweke
 
Hivi Chadema kwanini hawaweki mawakala au ndio kuiamini sana NEC?Matokeo ndio hayo sasa
 
hawa mawakala wa chadema walikuwa wapi au wamechakachuliwa
 
Back
Top Bottom