Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Itv imekuwa ya hovyo Sana!KAMBAYA NI KIRUSI HAPO ITV NA RADIO ONE.
ANATAFUTA UKUU WA WILAYA KWA NJIA ZA KIHUNI ( NJIA YA HASSAN NGOMA).
YAANI KIPINDI KIMEKOSA MVUTO IKABIDI NIZIME TV.
Huwezi amini sijaelewa ulichoandika
Imekuwa tawi LA TBC, ovyo kabisa.
hilo libonge nyanya halina akiliKuna mjadala unaendelea ITV hapa kuhusu tatizo la panya road kuibuka tena, watu wanatiririka maoni yao hapa ila muongozaji wa mdahalo ambaye ni mtangazaji Maulid Kambaya ni kama akisikia mtu akitoa maoni ambayo hakubaliani nayo anaanza kumkaba hoja yake kabla hajamaliza
Achani watu watoe maoni yao, hata kama unayaona ni potofu ni maoni yake
Aone huu ujumbeKAMBAYA NI KIRUSI HAPO ITV NA RADIO ONE.
ANATAFUTA UKUU WA WILAYA KWA NJIA ZA KIHUNI ( NJIA YA HASSAN NGOMA).
YAANI KIPINDI KIMEKOSA MVUTO IKABIDI NIZIME TV.