ITV mmenifanya kujiskia aibu na kipindi chenu cha kipima joto.

Lubengera

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2019
Posts
963
Reaction score
1,551
Kipindi chenu cha kipima joto cha leo, hakikuwa na mvuto sababu ni staged!
Hakina mvuto sababu kama Taifa bado tunasafari ndefu sana!

Mambo muhimu kama ya umeme, maji , Afya, Elimu etc ,tuweke mambo ya siasa mbali, tuwe na focus kama nchi! hao ilipaswa waulizwe maswali ambayo hayakupangwa.

Maswali yote yaliyo ulizwa, inaonekana kabsa wahusika walikuwa tayari na ufaham wa aina ya maswali ya washiriki.

Nimechoka.
 
Washenzi tu hao!
 
Pole sana Mkuu na Taarifa ya uhakika niliyonayo ni kwamba ITV sasa ipo chini ya ( mikononi mwa ) Kitengo ( SSIT ) mpaka na Chama Ng'ang'anizi Afrika hadi Duniani na kwamba hata Kipindi cha Dakika 45 Kinaratibiwa nao na hata yale Maswali Mtangazaji Farhia Middle huwa anaandaliwa nao Kimkakati kabisa na kupewa ili ayaulize kwa Niaba.
 
Mkuu, nimefedheheshwa sana! kama Taifa bado tunasafari ndefu sana! sielew kwanini tunaendekeza propaganda kwa vitu sensitive.
 
Asante Studio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…