Leo ITV imeonyesha tendo la ajabu sana ndiyo sababu watu wengine tunaamua kuangalia tv za nje tu.
Haiwezekani tv ambayo imasema kuwa ni super brand afrika mashariki ifanye mambo kwa kukurupuka bila ratiba .
Nilikuwa naangalia Al jazera tv kupitia itv gafla saa 6.15 wanakatiza matangazo na Kurusha matangazo ya mshindi wa Bahati nasibu, kwanini wasisubiri kipindi cha Habari za dunia Al jazera tv kiishe warushe hio Habari ya bahati nasibu ?
Sawa bahati nasibu inawaangizia ela lakini haikuwa breaking news wangetafuta muda mungine Hata baada ya Habari Al jazera wakarusha matangazo yao.
Jaribuni kuendesha vipindi vyenu kwa ratiba !