Labda walishatokepoFIFA mnaenda lini?
Hawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha habari kama kinatakiwa kuwa na weledi jadidu kwenye utoaji wa habari za michezo.

Simba yaambulia BASHITEFIFA mnaenda lini?
Kwa niaba ya vyombo vyote vya IPP media group... tunaomba radhi kwa taarifa yetu ilioonesha kuwakera wana msimbazi kwamba yanga imetwaa ubingwa.... si kweli jambo hilo kwani simba ana ndoto za kuifunga mwadui goli 11 baada ya kupewa pesa na wazamini wapya. pia tunawaomba TFF na watanzania kwa ujumla kuendelea kuiombea mwakilishi wa timu ya simba huko FIFA wafanikiwe maana wanaiwakilisha nchi kimataifa hasa huko fifa kwa hivi sasa....Hawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha habari kama kinatakiwa kuwa na weledi jadidu kwenye utoaji wa habari za michezo.