danmalimbwi
Member
- May 16, 2017
- 21
- 6
Big up nifahTaka usitake Yanga ndio bingwa wa VPL 2016/17
Period
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big up nifahTaka usitake Yanga ndio bingwa wa VPL 2016/17
Period
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji7]A.k.a point za mezani lakini watata hao!
Simba wanaweza kufunga Mwadui goli 11-0? then Yanga afungwe goli 3-0 na Mbao?
Kama hilo linawezekana, ngoja tuwaambie ITV wawe na WELEDI
Taka usitake Yanga ndio bingwa wa VPL 2016/17
Period
Unamchezea kamali Simba masikini akulipe kiasi gani? Wajaribu kufix matokeo uone rungu la fifa likimshukia akachezee mchangani rasmi huko.Kuweni makini, wachezesha kamali wana hila chafu! Wanaweza kusababisha Simba awe Bingwa ili wapate bingo! hii litokea kwa Barca na PSG!
Hivi wewe bado una Imani Simba atamfunga Mwadui fc 13 - 0?Hawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha habari kama kinatakiwa kuwa na weledi jadidu kwenye utoaji wa habari za michezo.
Kweni wamedanganya nn?hapo mkiambiwa kuleni kuku,mayai,mboga,samaki na maziwa ili kutengeneza akili kuwa safi ktk hesabu ni ubishi tu as simba atakuwa bingwa kupitia wp lbd kombe Azam hili hata mawazo tu toeniHawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha habari kama kinatakiwa kuwa na weledi jadidu kwenye utoaji wa habari za michezo.
Lbd la simba kama lipo ndo litaandika yanga c bingwa.Magazeti ya kesho yatatupa taswira sahihi ya nani alikuwa Bashite hapa. Msisahau kurudi kwenye huu uzi. Unafikiri magazeti yenye weledi yataandika kuwa Yanga ni Bingwa?
ITV hawaendeshi ligi, wanariport kinachotokea kwenye ligi. Acha ubashiteHawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha habari kama kinatakiwa kuwa na weledi jadidu kwenye utoaji wa habari za michezo.
ITV wako sahihi kabisa, labda kamati ya masaa 72 ije kivingine.
Simba ni timu ya hovyo
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] siwapendiTaka usitake Yanga ndio bingwa wa VPL 2016/17
Period
Kwanini isiwezekano lolote laweza kutokea yakheSimba wanaweza kufunga Mwadui goli 11-0? then Yanga afungwe goli 3-0 na Mbao?
Kama hilo linawezekana, ngoja tuwaambie ITV wawe na WELEDI
Hawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha habari kama kinatakiwa kuwa na weledi jadidu kwenye utoaji wa habari za michezo.