ITV na upotoshaji wa habari yadai Yanga imetwaa ubingwa 2016/2017

Kabla haujakomaa na ITV anzeni na kaka yenu mkubwa kwanza maana na yeye hana tofauti na ITV.
 
Simba wanaweza kufunga Mwadui goli 11-0? then Yanga afungwe goli 3-0 na Mbao?

Kama hilo linawezekana, ngoja tuwaambie ITV wawe na WELEDI
Taka usitake Yanga ndio bingwa wa VPL 2016/17
Period

Mathematically inawezekana, though kiuhalisia ni kitu kisihowezekana. Kwa hiyo ITV kama wanavyojiita superbrand EA, walipaswa kulitambua hivyo kabla ya kutoa habari kama walivyofanya.

Anyways, hongereni vyura.
 
Kuweni makini, wachezesha kamali wana hila chafu! Wanaweza kusababisha Simba awe Bingwa ili wapate bingo! hii litokea kwa Barca na PSG!
 
Kuweni makini, wachezesha kamali wana hila chafu! Wanaweza kusababisha Simba awe Bingwa ili wapate bingo! hii litokea kwa Barca na PSG!
Unamchezea kamali Simba masikini akulipe kiasi gani? Wajaribu kufix matokeo uone rungu la fifa likimshukia akachezee mchangani rasmi huko.
Wakati Simba akijaribu kushinda 13-0 Yanga naye atakuwa anashinda 5-0, kwahiyo itambidi aongeze ifike 18-0.
Hapa sio kushushwa daraja tu, kifungo cha maisha kitawahusu Mwadui wote na viongozi wa mbumbumbu fc.
 
Hivi wewe bado una Imani Simba atamfunga Mwadui fc 13 - 0?
 
Nami niliwasikia. Haikuwa sahihi kabisa esp kwa Chombo kikubwa kama hicho. Anyway it's TZ
 
Kweni wamedanganya nn?hapo mkiambiwa kuleni kuku,mayai,mboga,samaki na maziwa ili kutengeneza akili kuwa safi ktk hesabu ni ubishi tu as simba atakuwa bingwa kupitia wp lbd kombe Azam hili hata mawazo tu toeni
 
Magazeti ya kesho yatatupa taswira sahihi ya nani alikuwa Bashite hapa. Msisahau kurudi kwenye huu uzi. Unafikiri magazeti yenye weledi yataandika kuwa Yanga ni Bingwa?
Lbd la simba kama lipo ndo litaandika yanga c bingwa.
 
ITV hawaendeshi ligi, wanariport kinachotokea kwenye ligi. Acha ubashite
 
Tusubiri kamati ya masaa 72 inaweza fanya lolote
 
Simba wanaweza kufunga Mwadui goli 11-0? then Yanga afungwe goli 3-0 na Mbao?

Kama hilo linawezekana, ngoja tuwaambie ITV wawe na WELEDI
Kwanini isiwezekano lolote laweza kutokea yakhe
 

Nenda kwanza FIFA ndiyo ulalame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…