Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Alipokufa mfalume ziltumika BEI GANI (ITV reporter) kwa mazishi?hi watoe machozi, inaweza kuleta tafsri gani?
Yote kwa yote hawa qnet wakianza kuuwa kama vibaka mtaani ndio serkali itashtuka
Wanatoa watoto vijijini kuja mjini kuwafunza utapeli wazi watoto wamekonda wameisha wanalala kama wafungwa na kushindia biscuits tu ,kila siku polisi tu
USSR
Mkuu Jidu La Mabambasi, this is too much, ni kumuonea bure Mtangazaji!. Neno kiasi gani na bei gani are the words that means the same, hakuna kosa lolote hapo!.Huyu mwandishi wa ITV ana ripoti vizuri lakini kushindwa kuongea kiswahili sanifu kumenikera sana.
Huyu mwandishi anaitwa Silemu, katika kipindi cha kuwahoji hao vijana waliotapeliwa fedha na kampuni ya QNET.
Akimwuliza au kuhoji mtu, badala ya kumuuliza UMETOA KIASI GANI, yeye anauliza UMETOA BEI GANI!
Sio kweli!. Hayo maneno mawili means the same.Kama mwandishi hajui tofauti kati ya BEI na KIASI kwa maana ya fedha basi huo ni udhaifu mkubwa katika weledi wa watangazaji wa ITV.
Sio kweli!.Huku ni kuendeleza ujinga!
Mkuu Paskali, wewe ni mwandishi nguli katika fani ya uandishi na utangazaji.Mkuu Jidu La Mabambasi, this is too much, ni kumuonea bure Mtangazaji!. Neno kiasi gani na bei gani are the words that means the same, hakuna kosa lolote hapo!.
Sio kweli!. Hayo maneno mawili means the same.
Sio kweli!.
P
Huyu mwandishi wa ITV ana ripoti vizuri lakini kushindwa kuongea kiswahili sanifu kumenikera sana.
Huyu mwandishi anaitwa Silemu, katika kipindi cha kuwahoji hao vijana waliotapeliwa fedha na kampuni ya QNET.
Akimwuliza au kuhoji mtu, badala ya kumuuliza UMETOA KIASI GANI, yeye anauliza UMETOA BEI GANI!
Hii inatia mashaka juu ya elimu na basic training ya mwandishi.
Kama mwandishi hajui tofauti kati ya BEI na KIASI kwa maana ya fedha basi huo ni udhaifu mkubwa katika weledi wa watangazaji wa ITV.
Huku ni kuendeleza ujinga!
Mojawapo ya vitu vilivyomsababisha SABAYA akonekana mbaya huko HAI ni pamoja na kuipinga hadharani hiyo Q-Net.Huyu mwandishi wa ITV ana ripoti vizuri lakini kushindwa kuongea kiswahili sanifu kumenikera sana.
Huyu mwandishi anaitwa Silemu, katika kipindi cha kuwahoji hao vijana waliotapeliwa fedha na kampuni ya QNET.
Akimwuliza au kuhoji mtu, badala ya kumuuliza UMETOA KIASI GANI, yeye anauliza UMETOA BEI GANI!
Hii inatia mashaka juu ya elimu na basic training ya mwandishi.
Kama mwandishi hajui tofauti kati ya BEI na KIASI kwa maana ya fedha basi huo ni udhaifu mkubwa katika weledi wa watangazaji wa ITV.
Huku ni kuendeleza ujinga!
Mkuu Paskali, wewe ni mwandishi nguli katika fani ya uandishi na utangazaji.
Mimi vile vile ni mdau.
Kwa mwandishi kushindwa kutofautisha BEI(value) na KIASI(amount) hapo kuna ukakasi.
Wakati BEI kama nilivyo itafsiri hata kwa lugha nyingine kama value,inavutika kimtazamo, KIASI kwa maana ya fedha au amount haivutiki, ni static.
Unaweza kuwa na Dollar 1000 mkononi, KIASI chake kitabaki kuwa Dollar 1000, lakini BEI yake kwa hela ya kiTanzania itacheza. Huu ni mfano tu.
Hivyo BEI itabaki kuwa ni uthamani wa kitu kwa wakati uliopo na inabadilika , wakati KIASI cha fedha inabaki ile ile.
BEI na KIASI cha fedha ni vitu viwili tofauti.
Mayala wewe nawe lugha huwa inakuwa shida sana. Kiswahili na kiingereza. Kiasi - amountMkuu Jidu La Mabambasi, this is too much, ni kumuonea bure Mtangazaji!. Neno kiasi gani na bei gani are the words that means the same, hakuna kosa lolote hapo!.
Sio kweli!. Hayo maneno mawili means the same.
Sio kweli!.
P
Watanzania wengi wanaongea kiswahili cha kusikia mitaani, hilo tatizo si kwa huyo tu bali watangazaji wengi ndivyo walivyo.Huyu mwandishi wa ITV ana ripoti vizuri lakini kushindwa kuongea kiswahili sanifu kumenikera sana.
Huyu mwandishi anaitwa Silemu, katika kipindi cha kuwahoji hao vijana waliotapeliwa fedha na kampuni ya QNET.
Akimwuliza au kuhoji mtu, badala ya kumuuliza UMETOA KIASI GANI, yeye anauliza UMETOA BEI GANI!
Hii inatia mashaka juu ya elimu na basic training ya mwandishi.
Kama mwandishi hajui tofauti kati ya BEI na KIASI kwa maana ya fedha basi huo ni udhaifu mkubwa katika weledi wa watangazaji wa ITV.
Huku ni kuendeleza ujinga!
QNET Ni yakitambo na watu wengi walilizwa hata kabla ya kifo cha Mfalme Uzia.Isaya : Mlango 6
1 Katika mwaka ule aliokufa mfalume Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana,
Kuna mawili hapo, kufa kwa mfalme, huanza majira mengine mapya, ya aither, Nchi istawi na wananchi kula mema ya nchi na au wananchi kushi kwenye vilio na mateso yasiyo koma!
Anaweza kufa mfalume, nchi ikssitawi na au ikawa kinyume chake!!
Wewe unalionaje hili mwananchi mwenzangu!?
Yanapozaliwa mambo ya hovyo hovyo na kuwafanya wananchi watoe machozi, inaweza kuleta tafsri gani?
Sikubaliani na mtazamo wako ingawaje ni kweli bei ni sawa na price.Bei sio value, bali ni price. Price na value sio lazima zifanane. Wewe ukimuuzia rafiki yako kipenzi gari kwa discounted price ya $5,000 badala ya market price ya $10,000, price ya hiyo gari kwake inatofautiana na value yake. Rafiki yako atakuwa amelipa bei ya $5,000 na amepata gari ya thamani ya $10,000. Haitakuwa sahihi kusema kwamba value (thamani) ya hiyo gari ni $5,000 aliyokulipa rafiki yako!
Afadhali useme bei ni cost (gharama) badala ya kusema value (thamani).
...Ni maneno yaana Moja lakini inategemea unayatumia vipi katika Sentensi Yako.Mkuu Jidu La Mabambasi, this is too much, ni kumuonea bure Mtangazaji!. Neno kiasi gani na bei gani are the words that means the same, hakuna kosa lolote hapo!.
Sio kweli!. Hayo maneno mawili means the same.
Sio kweli!.
P