Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 2,330
- 4,048
Nakuelewa kiongozi, ila jamaa anazingua..ni kama anawaharibia ITV brand yao..ila wafanye uchunguzi wajiridhishe, ndipo wafanye maamuziUnaharibia watu ugali
Huyu na hata somebody Mzinga wapo vizuri, ..na wengine wengi hakika wanajitahidiFarhia Middle
Aseeh wabadlishe kemera sjui shda iko wapi 🤔Kwaiyo ITV ndo superbrand na zile camera zao za bei mbaya hahaah