ITV wahojiwe kwa utapeli

ITV wahojiwe kwa utapeli

Mtaulizwa mlikuwa hampati faida? Mlitishiwa msipotuma pesa? Mlikuwa hamfurahii huduma? Mlikuwa hamnunuii izo bidhaa? Majibu yote yatakuja yes mtaulizwa mnamshatki nani kama pesa mlikuwa mnanunua bidhaa ,
 
ITV ni wafanyabiashara yeyote aliepitishwa na Brela na TRA wanamkubali wao hawana taasisi ya kukagua matapeli mimi nawalaumu BOT hawajui wafanye nini yule Mzee Luoga apumzike tuu..ukiwa na kichwa cha kuamini kila kinachorushwa na Runinga kipo sahihi basi una safari ndefu..mwisho hela kama hela huwa haipandwi sijuii iitwe mbegu mara Asset vile ni viingereza vya wapigaji mshukuru Tanzania haina Wasenegali kwa akili mlizonazo wengi mngekua mnalia kila siku...
 
Naunga mkono hoja. Hizo kampuni zinaenda ITV zikiwa na uthibitisho wa uwepo wake nchini kisheria, sasa iweje ITV wakatae kutangaza?

Kuna kampuni nayo ilikuwa inatangaza ITV tena muda wa habari habari ya saa mbili, nimeisahau kidogo ila ni kama ile ya kilimo cha vanila!

Binafsi naona hizi kampuni za kitapeli zinaletwa nchini na kukingiwa kifua na viongozi wa kiraia + viongozi wa vyombo vya usalama wasio na huruma kwa Watanzania wenzao ndio maana zinafanya mambo yao kwa uhuru

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
ITV ni wafanyabiashara yeyote aliepitishwa na Brela na TRA wanamkubali wao hawana taasisi ya kukagua matapeli mimi nawalaumu BOT hawajui wafanye nini yule Mzee Luoga apumzike tuu..ukiwa na kichwa cha kuamini kila kinachorushwa na Runinga kipo sahihi basi una safari ndefu..mwisho hela kama hela huwa haipandwi sijuii iitwe mbegu mara Asset vile ni viingereza vya wapigaji mshukuru Tanzania haina Wasenegali kwa akili mlizonazo wengi mngekua mnalia kila siku...
Wapo kariakoo sema wameshazeeka
 
Hata ITV nao wameshatapeliw maana hata walichokuw wanaitangaza walikuw hawaelew wanatangaz nn
 
Habari wananzengo..

Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa

Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba ITV imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutangaza hiyo kaylinda ilikuwa ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga.

ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..

ITV mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi.
😁😁😁😁 hii nchi hii lile swala la tozo limeishia wap maan lishakj jingn la kalyinda
 
General Armageddon fanya jambo roho zetu zipoe,tumemiss hii kitu "Air alert announced in Kiev, local authorities said'.
 
Habari wananzengo..

Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa

Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba ITV imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutangaza hiyo kaylinda ilikuwa ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga.

ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..

ITV mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi.
Nanyi watu wa mjini mkijihoji kwa kupenda michezo ya bahati nasibu na online business.Makampuni yanakuja tu mengi na serikali inayapa kibali.
 
Habari wananzengo..

Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa

Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba ITV imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutangaza hiyo kaylinda ilikuwa ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga.

ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..

ITV mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi.
ITV KAMA CHOMBO CHA HABARI WANAPOKEA MATANGAZO UNAWALIPA FEDHA KWA AJILI YA TANGAZO LA BIASHARA YAKO , SIO JUKUMU LAO KUKUULIZA MASUALA YA LESENI YAKO !
 
Vyombo vya habari havipaswi kusambaza udanganyifu kama huu.
Chukulia kwamba wewe una kituo cha habari.. anakuja mtu (mteja) na tangazo lake... Anataka liende hewani kupitia kituo chako cha habari.. na matangazo kwako ni biashara... Vipi mzee utalipeleka tangazo hewani ama utaliacha..??
 
media zinaendeshwa kwa matangazo kwahyo walifanya kazi yao kama watangazaji na ww ungefanya kazi yako ya kuwa makini wapi unaweka hela yako basi ila kusema itv wanamakosa basi anza kulaumu serikali yako ambayo iliwapa usajili wa biashara hiyo
 
Habari wananzengo..

Hongera simba kwa kuwakilisha vyema taifa

Turudi kwenye mada inawezekana vipi chombo kikubwa kama ITV, superbrand wa miaka kadhaa hapo nyuma kupromote utapeli, wa hii kampuni ya kalyinda,?. Kuna kila sababu ya ITV na management nzima kuwajibika juu ya hili. in fanct ni kwamba ITV imejijengea uaminifu kwa wananchi hivyo kutangaza hiyo kaylinda ilikuwa ni rahisi kwa mtu yoyote kujiunga.

ITV WAHOJIWE WATUONESHE WAPI ALIPO KALYINDA..

ITV mmejishusha thamani kubwa machoni kwa watanzania ikiwezekana mtutake radhi.
Mbona wewe umenitapeli na nimekaa kimyaa? Usisahau mjini ukiona mtu kauwawa ni pesa au mke wa mtu. Muda ni rafiki mzuri ngoja tu
 
Back
Top Bottom