Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Itv bado wako na 'hangover' ya hofu kwa jiWE.. Wanahisi atawafungia!!!Akiwa anaongelea kuhusu MSD, sauti imekatwa ghafla na baadae kumtoa hewani kabisa kisha kuweka matangazo. Hii haikubaliki. Bajeti ya MSD imetekelezwa kwa chini ya asilimia moja.
Ni bora wasingempa Airtime.Akiwa anaongelea kuhusu MSD, sauti imekatwa ghafla na baadae kumtoa hewani kabisa kisha kuweka matangazo. Hii haikubaliki. Bajeti ya MSD imetekelezwa kwa chini ya asilimia moja.
Basi kama hivyo,kumekucha hata wewe umetambua kuwa walikuwa wanakosea enzi zile sio.Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.
Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.
Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
Inawezekana hakulipia airtime yote,acha kulalama.Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.
Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
WAMEPIGIWA simu na private number na kwa mnbali wamesikia sauti ya tausi wakilia, wakambiwa wakate sauti, wakakata.Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.
Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
Wewe ni @Kigwangwala aliyechangamka. Period.Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.