ITV wamkatia sauti Zitto

ITV wamkatia sauti Zitto

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Akiwa anaongelea kuhusu MSD, sauti imekatwa ghafla na baadae kumtoa hewani kabisa kisha kuweka matangazo. Hii haikubaliki. Bajeti ya MSD imetekelezwa kwa chini ya asilimia moja.

Baada ya uchambuzi, wamerudisha LIVE. Wanaouliza maswali hawaoneshwi lakini u-tube wanaonesha

Baada ya mchangiaji mwingine kusema ukweli wamekata tena
 
Wakate tu...tutaivuta hotuba yake kwenye youtube. Kwanza mie nina mwaka wa tatu sasa sijatazama itv
 
Tanzania Tanzania Tanzania Nimeiita mara tatu hii nchi
 
Akiwa anaongelea kuhusu MSD, sauti imekatwa ghafla na baadae kumtoa hewani kabisa kisha kuweka matangazo. Hii haikubaliki. Bajeti ya MSD imetekelezwa kwa chini ya asilimia moja.
Ni bora wasingempa Airtime.
 
Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.

Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
 
Hawavunji sheria yoyote, Zitto nae havunji sheria yoyote, kwa hali hii wataendelea kuwa watumwa wa akili za wengine mpaka lini?
 
Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.

Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
Basi kama hivyo,kumekucha hata wewe umetambua kuwa walikuwa wanakosea enzi zile sio.
 
TV za bongo sio za kuziamini period walio kwenye vyumba vya habar n mabongolala wanaendeshwa na wamiliki badala ya weledi

Jiwe kafaa bado wanahis anawasikia kaburini aje awashtaki itachukua miezi 6 kuamini Kama jiwe kafa
 
Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.

Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.

Mlaumu sana Dkt. Abbas au Msigwa tu.
 
si tumeshakubaliana mwendazake hayupo tena sasa wanakwama wapi tena jamani?!
 
cha msingi afanye press nyingine kwenye hizi online tv.

tutajiunga nae mubashara.

na kama haitosh4 aiweke mtandaoni softcopy ya huo uchambuzi.
 
Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.

Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
Inawezekana hakulipia airtime yote,acha kulalama.
 
Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.

Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
WAMEPIGIWA simu na private number na kwa mnbali wamesikia sauti ya tausi wakilia, wakambiwa wakate sauti, wakakata.
 
we're
Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.

Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
Wewe ni @Kigwangwala aliyechangamka. Period.
 
Back
Top Bottom