Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Oct 16, 2008 #1 Kuna wadau wananitumia ujumbe unaosema hivi: Mkuu Invisible, nini kimetokea ITV? Mbona haipatikani hewani kabisa ghafla? Anyone with a clue?
Kuna wadau wananitumia ujumbe unaosema hivi: Mkuu Invisible, nini kimetokea ITV? Mbona haipatikani hewani kabisa ghafla? Anyone with a clue?
Halisi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2007 Posts 2,802 Reaction score 614 Oct 16, 2008 #2 Invisible said: Kuna wadau wananitumia ujumbe unaosema hivi: Mkuu Invisible, nini kimetokea ITV? Mbona haipatikani hewani kabisa ghafla? Anyone with a clue? Click to expand... Naona imepandana na Charnel 5
Invisible said: Kuna wadau wananitumia ujumbe unaosema hivi: Mkuu Invisible, nini kimetokea ITV? Mbona haipatikani hewani kabisa ghafla? Anyone with a clue? Click to expand... Naona imepandana na Charnel 5
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Oct 16, 2008 Thread starter #3 Halisi said: Naona imepandana na Charnel 5 Click to expand... I see? Never seen this before!
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Oct 16, 2008 #4 something is very wrong.... we just witness the symptoms..
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Oct 16, 2008 Thread starter #5 Mzee Mwanakijiji said: something is very wrong.... we just witness the symptoms.. Click to expand... Halafu ninachojua ni kuwa ITV wana covarage kubwa kwa Tanzania kuliko EATV kutokana na license waliyopewa na TCRA, au ndio mpango wa kuitangaza EATV mikoani? I do not get it...!
Mzee Mwanakijiji said: something is very wrong.... we just witness the symptoms.. Click to expand... Halafu ninachojua ni kuwa ITV wana covarage kubwa kwa Tanzania kuliko EATV kutokana na license waliyopewa na TCRA, au ndio mpango wa kuitangaza EATV mikoani? I do not get it...!
M Masatu JF-Expert Member Joined Jan 29, 2007 Posts 3,276 Reaction score 131 Oct 16, 2008 #6 Halisi said: Naona imepandana na Charnel 5 Click to expand... Halisi, Hay mambo ya "kupandana" niaje tena?
Halisi said: Naona imepandana na Charnel 5 Click to expand... Halisi, Hay mambo ya "kupandana" niaje tena?
Halisi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2007 Posts 2,802 Reaction score 614 Oct 16, 2008 #7 imerudi hewani
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Oct 16, 2008 Thread starter #8 Masatu said: Halisi, Hay mambo ya "kupandana" niaje tena? Click to expand... Naambiwa wamerejea japo bado hawajakaa vema. The topic will now close. Vema tumewashtua, waliokuwa JF wakafikisha ujumbe.
Masatu said: Halisi, Hay mambo ya "kupandana" niaje tena? Click to expand... Naambiwa wamerejea japo bado hawajakaa vema. The topic will now close. Vema tumewashtua, waliokuwa JF wakafikisha ujumbe.