ITV: What's up?

ITV: What's up?

Status
Not open for further replies.

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380
Kuna wadau wananitumia ujumbe unaosema hivi:

Mkuu Invisible, nini kimetokea ITV? Mbona haipatikani hewani kabisa ghafla?

Anyone with a clue?
 
Kuna wadau wananitumia ujumbe unaosema hivi:

Mkuu Invisible, nini kimetokea ITV? Mbona haipatikani hewani kabisa ghafla?

Anyone with a clue?

Naona imepandana na Charnel 5
 
something is very wrong.... we just witness the symptoms..
Halafu ninachojua ni kuwa ITV wana covarage kubwa kwa Tanzania kuliko EATV kutokana na license waliyopewa na TCRA, au ndio mpango wa kuitangaza EATV mikoani?

I do not get it...!
 
Halisi,

Hay mambo ya "kupandana" niaje tena?
Naambiwa wamerejea japo bado hawajakaa vema.

The topic will now close.

Vema tumewashtua, waliokuwa JF wakafikisha ujumbe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom