Iundwe wizara ya Matamasha "festivals"

Iundwe wizara ya Matamasha "festivals"

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Hivi karibuni Kumekua na Matamasha kila Kona (mwanzo- mwisho kuanzia;

1. Kizimkazi Festival,
2. Tulia Trust Festival,
3. Arusha Land rover Festival,
4. Majimaji Festival,
5. Wasafi Festival,
6. Nandy Festival,
7. Vespa Zanzibar Tourism Festival,

Punde tutasikia Ruangwa na Buhigwe festivals.

Ili uratibu uwe mzuri ingefaa iundwe wizara maalum chini ya Waziri Komredi PCM.

**Wizara ya utamaduni imezidiwa
 
Kwenye list Yako Kuna matamasha mengine niya mtu binafsi kama nandy na wasafi. Labda ungezungumzia matamasha ya kitaifa yanayogusa watu wote na ambayo sio benefits kwa mtu husika
 
Kwenye list Yako Kuna matamasha mengine niya mtu binafsi kama nandy na wasafi. Labda ungezungumzia matamasha ya kitaifa yanayogusa watu wote na ambayo sio benefits kwa mtu husika
Wahudhuriaji ni hao hap wananchi/wapiga kura
 
Back
Top Bottom