Iv wakenya mnamigodi kweli

Iv wakenya mnamigodi kweli

Migodi tuwe nayo ya nini wakati Tanzania shamba la bibi lina migodi ya kutosha ambayo kila mtu hujichukulia.
Hapa Nairobi ndio soko kubwa la dhahabu na Tanzanite, na pia ndiko watalii wanashukia wengi ili kuona mlima Kilimanjaro.
Huwezi kupewa vyote, unapewa raslimali unanyimwa ubongo, au upewe akili unyimwe raslimali.
Hivyo sisi hatuna migodi wala raslimali lakini kwa vile tumepewa akili, tunatawala ukanda wote huu kiuchumi.
Nyie raslimali na migodi mnayo ila maskini wa kutupwa maana mlinyimwa akili.
Daah ukweli mchungu umeniuma mno.
 
Migodi mko nayo mmefanyia nini.Wazungu wamebeba all your ORES,mmebaki tu kufagia compounds za waarabu hap Dar is slum..Pugah
Madini bado mengi sana tanzania juzi wamegundua mkoa wote wa ruvuma ni madini tupu ukija wilaya ya manyoni yote chini kuna dhahabu wilaya ya manyoni ni kubwa kuliko mji wenu wote wa NAIROBI
 
Madini bado mengi sana tanzania juzi wamegundua mkoa wote wa ruvuma ni madini tupu ukija wilaya ya manyoni yote chini kuna dhahabu wilaya ya manyoni ni kubwa kuliko mji wenu wote wa NAIROBI

Yote hayo Waarabu na Wahindi watanufaika na kuwaacha maskini wa kutupwa mpaka siku mtatia akili kwenye hilo shamba la bibi.
 
Tz inaibiwa na waarabu, wahindi na WaSouth, sijui kama Wakenya wamefaulu hapo.
Huwa inaniuma kujua hayo mashamba ya bibi yanaliwa na wageni bila ya mimi kupata fursa ya kuja kukwapua pia.
Noah kwa kila Mtanzania, wapi mnazigawa nizamie.
Nipeni mchongo, unaanzia wapi maana mtabaki mahandaki matupu kabla mimi pia sijajichukulia.
Idiot
 
Mkenya ukimshika penyewe huwa wanaanza kuongea kishabiki [emoji23][emoji23][emoji23]deep down ukweli uliomuambia unamuuma kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Vitu vinavyoongoza kuwauma kenyans
1. Atcl ndege 6 ndani ya muda mchache
2. Sgr itakayokua na speed
3. Ule ujenzi wa lile bwawa la umeme
Etc.
Yaani kiufupi maendeleo ya Tz yanawakereketa sio kitoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwageni povu nikafulie boxer zangu maana ni chafu kweli kweli
 
CCM hiyo moja ambayo imeachia nchi imeliwa tangu uhuru mpaka leo umaskini umekidhiri kwenu huko.
Siyo ccm pekee iliyosababisha huu umaskini, na hatukatai kwamba ni maskini, ccm na nchi inajirudi sasa. Ajabu ni nyinyi wakenya mnavyojikuta mmeendelea na mkijicompe na Tz.
 
Back
Top Bottom