Iv wakenya mnamigodi kweli

Daah ukweli mchungu umeniuma mno.
 
Migodi mko nayo mmefanyia nini.Wazungu wamebeba all your ORES,mmebaki tu kufagia compounds za waarabu hap Dar is slum..Pugah
Madini bado mengi sana tanzania juzi wamegundua mkoa wote wa ruvuma ni madini tupu ukija wilaya ya manyoni yote chini kuna dhahabu wilaya ya manyoni ni kubwa kuliko mji wenu wote wa NAIROBI
 
Madini bado mengi sana tanzania juzi wamegundua mkoa wote wa ruvuma ni madini tupu ukija wilaya ya manyoni yote chini kuna dhahabu wilaya ya manyoni ni kubwa kuliko mji wenu wote wa NAIROBI

Yote hayo Waarabu na Wahindi watanufaika na kuwaacha maskini wa kutupwa mpaka siku mtatia akili kwenye hilo shamba la bibi.
 
Idiot
 
Mkenya ukimshika penyewe huwa wanaanza kuongea kishabiki [emoji23][emoji23][emoji23]deep down ukweli uliomuambia unamuuma kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Vitu vinavyoongoza kuwauma kenyans
1. Atcl ndege 6 ndani ya muda mchache
2. Sgr itakayokua na speed
3. Ule ujenzi wa lile bwawa la umeme
Etc.
Yaani kiufupi maendeleo ya Tz yanawakereketa sio kitoto [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwageni povu nikafulie boxer zangu maana ni chafu kweli kweli
 
CCM hiyo moja ambayo imeachia nchi imeliwa tangu uhuru mpaka leo umaskini umekidhiri kwenu huko.
Siyo ccm pekee iliyosababisha huu umaskini, na hatukatai kwamba ni maskini, ccm na nchi inajirudi sasa. Ajabu ni nyinyi wakenya mnavyojikuta mmeendelea na mkijicompe na Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…