Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Kiukweli naomba mwenye info za kutosha za huyu jamaa atuambie anapiga ishu gani za kuingiza kiasi hicho? Mana sio kwa mabulungutu hayo.

Nakumbuka juzi kati mr diamond(nlikuja kuamini ni zari alifanya hivo) alipotoa kile kijembe siku chache baadae ivan alipost amekaa na cash money wenzake wamepanga "mihela" midola mi euro kwenye meza hio haitoshi jamaa akaanza kurusha kwa kamera man viburungutu vya dola

Anyway tuache hayo mana nsije kuwachokoza akina diamond humu.

Back to ivan, anapiga ishu gan huyu aise....mara nasikia ana tenda serikalini, mara anamiliki chuo huko south africa(sijui kama kweli).

Akina geniveros na akina miss chaga najua nawarusha roho nkiwaonesha madolari kama haya ...wadada changamken tena yuko single mshikaji..ila mtakua mnajiuliza mwanamke mwenzenu zarina ameondokaje pale na pako loaded [emoji23][emoji23]

Kweli life is not fair...ana tabia kama za floyd mayweather vile..mtu anaonesha kiburungutu cha dola mbele yako halaf anachat na simu halafu ukijichek wewe mfukoni una buku teni tu.
















 
nachojua anaishi nyumba ya kupanga na diamond kamnunulia mama watoto wake nyumbna ili waishi kwa raha
ahahahahaha

baadae unaweza kuwa ukweli mchungu huu HAO WAZEE WA MADILI KWA USHAWISHI WALIO NAO LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA
 
nachojua anaishi nyumba ya kupanga na diamond kamnunulia mama watoto wake nyumbna ili waishi kwa raha
Hahahaa...miss natafuta ...hvi ima mana kwa mabulungutu yote hayo tena madola hayo na ma euro ina mana hawez nunua nyumba huyo kweli?? Ivi unaonaga maisha yake anayoishi?? Ni mtu wa kushindwa kununua nyumba kweli ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…