DE FULE
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,214
- 711
Mstari wa kwanza umekaajeSidhani kama atachukua muda huyu, labda kama huwa anapigia picha na kuzirudisha mahali salama na wao wakijua hilo maana hawachelewi kujaribu bahati zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mstari wa kwanza umekaajeSidhani kama atachukua muda huyu, labda kama huwa anapigia picha na kuzirudisha mahali salama na wao wakijua hilo maana hawachelewi kujaribu bahati zao.
YametimiaMsema kweli ni futi 6
Hatarudi tena,Ivan asharudi kwake aliyemleta duniani,may his soul rest in peace,Mungu ampe nguvu ya uvumilivu Zee na wanawe.mganga yule!
Zari na Ivan ni partners in crimes na ukumbuke wale ni wazazi wa watoto wa3
Naamini mpk Leo Ivan anakula mzigo ule kiulaini!
Na mondi anachunwaaa!!
Hujawahi ona mwanamke kaolewa Ila bwana ake wa longi akimtaka anampata kwa urahisi tu!
So Mwisho wa mchezo Zari atarudi kwa ivan !!
Amini maneno yangu!
Acha mambo ya BakhresaUshawahi ona bakhresa anapiga picha na pesa? Na social media zipo na hats anamiliki media zake?
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] umetisha aisee!!Soma Autography ya Pablo, sio maneno yangu its true. Hana picha akiwa ameshika hata dollar moja.
My point sio diversity ya life styles, because hata vichaa ni tofauti na wenye akili timamu.
My point ni kuwa, attachments on show-off?
Kuna rich peoples ambao hawana hiyo show-off na wana pesa.
And beside, at the end everyone was born naked and we will die naked. We will leave everything, hatutaondoka hata na senti moja, not even our bodies and its beautiful look, tutaacha vyote.
Then we can do something meaningful in life, something that can not decay. Sio sifa.