Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Ni mganga wa kienyeji ndio alikoanzia wakati wanahaso na zari baadae kwenye biashara za visa kwa wanaokwenda kusoma nje ya nchi ana chuo pia sijajua ni cha nn....
 
mganga yule!

Zari na Ivan ni partners in crimes na ukumbuke wale ni wazazi wa watoto wa3

Naamini mpk Leo Ivan anakula mzigo ule kiulaini!

Na mondi anachunwaaa!!

Hujawahi ona mwanamke kaolewa Ila bwana ake wa longi akimtaka anampata kwa urahisi tu!

So Mwisho wa mchezo Zari atarudi kwa ivan !!


Amini maneno yangu!
Hatarudi tena,Ivan asharudi kwake aliyemleta duniani,may his soul rest in peace,Mungu ampe nguvu ya uvumilivu Zee na wanawe.
 
Wabongo bwana kila kitu sembe tu,.yaani watu wana njaa mawazo yao yako kwenye ugali.
 
Ushawahi ona bakhresa anapiga picha na pesa? Na social media zipo na hats anamiliki media zake?
Acha mambo ya Bakhresa

Umeulizwa je miaka ya 1980's kulikuwa na social network mpaka Pablo Escobar apige hizo picha?

Jibu swali kwanza kabla hujauliza lako.
 
Soma Autography ya Pablo, sio maneno yangu its true. Hana picha akiwa ameshika hata dollar moja.

My point sio diversity ya life styles, because hata vichaa ni tofauti na wenye akili timamu.

My point ni kuwa, attachments on show-off?

Kuna rich peoples ambao hawana hiyo show-off na wana pesa.

And beside, at the end everyone was born naked and we will die naked. We will leave everything, hatutaondoka hata na senti moja, not even our bodies and its beautiful look, tutaacha vyote.

Then we can do something meaningful in life, something that can not decay. Sio sifa.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] umetisha aisee!!
 
Back
Top Bottom