Kupata mtoto ni majaaliwa yake MunguHabari wana Jamii forums
Hivi kuna ukweli wowote juu ya ivf mbona ni kama wapo kiutapeli na kibiashara zaidi ya kusaidia watu, unakuta clinic moja kwa mwaka anaweza akafanikiwa mmoja watakae muweka kwenye post zao za social media na waliobaki wataambiwa warudi na wanalioshwa tena ikiwa kabla ya upandikizwaji walijiridhisha kila kitu Kipo Sawa na ni procedure inayochukua muda kumuandaa muhusukia.
Hapa kuna biashara inayo watesa sana wenye uhitaji wa watoto
Kwahiyo ni Bahatisha Ndulute? Kama 40% ndiyo probability ya kufanikiwa basi siyo njia mbadala haijakidhi vigezo.Kutoka machapisho ya tafiti mbalimbali, ni 40% unaweza ukafanikiwa na 60% ni kutokufanikiwa. Na hata wateja nina imani wanapewa taarifa.