Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Nilishangaa kuona clinic moja ya IVF mitaa ya mikocheni wakati napita nikiwa kwenye gari la mshkaji, nikaropokwa 'atakua amefungua kwa ajili ya wazungu!' nikidhani Dar niliyoiacha enzi za mwalimu ndo ileile. Enzi hizo hii haikuwa issue na matatizo ya uzazi ni suala ambalo wanandoa walikua wakideal nalo very discreetly. Apparently, according to jamaa niliokuwa nao kwenye gari- matatizo ya uzazi yamekua very common siku hizi, especially kwa young couples na watu wanayaongelea bila kificho. Nikaambiwa gharama pia ziko juu sana, one of them mentioned 15m na hakuna guarantee kuwa utafanikiwa. Je ni kitu gani kimebadilika siku hizi? Mbona zamani hiya matatizo yalikua sio mengi kama siku hizi?