IVF Clinics Dar- wtf is happening??

IVF Clinics Dar- wtf is happening??

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
2,257
Reaction score
363
Nilishangaa kuona clinic moja ya IVF mitaa ya mikocheni wakati napita nikiwa kwenye gari la mshkaji, nikaropokwa 'atakua amefungua kwa ajili ya wazungu!' nikidhani Dar niliyoiacha enzi za mwalimu ndo ileile. Enzi hizo hii haikuwa issue na matatizo ya uzazi ni suala ambalo wanandoa walikua wakideal nalo very discreetly. Apparently, according to jamaa niliokuwa nao kwenye gari- matatizo ya uzazi yamekua very common siku hizi, especially kwa young couples na watu wanayaongelea bila kificho. Nikaambiwa gharama pia ziko juu sana, one of them mentioned 15m na hakuna guarantee kuwa utafanikiwa. Je ni kitu gani kimebadilika siku hizi? Mbona zamani hiya matatizo yalikua sio mengi kama siku hizi?
 
wrong matatizo yalikuwepo toka zamani ila watu walikuwa discreet kukwepa aibu. wazee waliomba mdogo/kaka mtu alale na shemeji ili mtoto apatikane but times have changed. you're no longer considered a social pariah ukiwa na matatizo na uzazi due to elimu na realistically the younger generation like mine hatuwezi kubali the 'old solutions.
 
Enzi za mwalimu siku zote lawama zilikua zinaelekezwa kwa wanawake na wanaume walikua wabishi sana kwenda kwa wataalamu.
 
ivf ni nini jamani huwa inafanywaje na kwa mtu kama mimi ambae nilitolewa prostate,na kwa sasa nikifanya sex mbegu hazitoki kabisa hiyo ivf inaweza kunisaidia kupata mtoto?nijuzeni wataalamu
 
wrong matatizo yalikuwepo toka zamani ila watu walikuwa discreet kukwepa aibu. wazee waliomba mdogo/kaka mtu alale na shemeji ili mtoto apatikane but times have changed. you're no longer considered a social pariah ukiwa na matatizo na uzazi due to elimu na realistically the younger generation like mine hatuwezi kubali the 'old solutions.

well said my dear @blane. Above all, nahisi kama enzi za mwalimu pia kujiingiza kwenye uzazi na umri mdogo kulisaidia kuepuka matatizo ya uzazi. Siku hizi hadi upate masters ndo ufunge ndoa. Unaanza kusaka mtoto na 28 yrs of age. Na mwanaume hapo ana 35 manake.alikuwa hataki kubanwa anajinywea mipombe tu.
Tuliwahi kuwa na debate nikiwa high skuli. Kuna dada aliongea kuhusu sex before marriage na kusema maadili hayajaporomoka ila situation zimebadilika. Kama mama aliolewa akiwa 16, hiyo sex before marriage angeiona wapi?

Ila mtoa mada umenofurahisha sana. Ulikuwa nchi gani kabla haujarudi tena dar na kuzurura kwa gari ya mshkaji?
 
unaandika as if wote wanaelewa ivf,define kwanza,halafu ndio uandike essay yako
 
ivf ni nini jamani huwa inafanywaje na kwa mtu kama mimi ambae nilitolewa prostate,na kwa sasa nikifanya sex mbegu hazitoki kabisa hiyo ivf inaweza kunisaidia kupata mtoto?nijuzeni wataalamu

mpendwa, unatakiwa kuonana na urologist na akupe ushauri kwa kuangalia situation yako ama kukupima upya.
Naomba niulize kwa ufahamu tu (its ok kama haujisikii kujibu). How do you climax kama mbegu hazitoki kabisa? Unajisikia raha tu, ama unatoka maji maji (manii)?
 
naposex nasikia raha tu kama kawaida ila ni dry ejaculation yaani hakuna majimaji kabisa na kuna demu mmoja nilikuwa natembea nae kwa muda wa mwaka mwishowe akaniuliza mbona hutoi shahawa,aisee ilibidi nimweleze ukweli akasema basi tuachane maana hawezi kuingiliwa bila kutemewa mbegu,ila juna wakati unapoejaculate unasikia maumivu sana.perfomance sio mbaya ni nzuri sana but no mbegu tu
 
Pole sana, na hongera kwa operesheni ya mafanikio. Namshukuru Mungu kwa kukukinga na balaa. Nikutahadharishe tu kuwa usisahau hiv (nawajibika kusema, samahani lakini). I am proud of your decision kupata matibabu. Kila la kheri, natumaini utampata wa kukuelewa na kukubaliana na hali iliyopo. Kuhusu hayo maumivu, labda dr angeweza kukushauri la kufanya?
 
Nilishangaa kuona clinic moja ya IVF mitaa ya mikocheni wakati napita nikiwa kwenye gari la mshkaji, nikaropokwa 'atakua amefungua kwa ajili ya wazungu!' nikidhani Dar niliyoiacha enzi za mwalimu ndo ileile. Enzi hizo hii haikuwa issue na matatizo ya uzazi ni suala ambalo wanandoa walikua wakideal nalo very discreetly. Apparently, according to jamaa niliokuwa nao kwenye gari- matatizo ya uzazi yamekua very common siku hizi, especially kwa young couples na watu wanayaongelea bila kificho. Nikaambiwa gharama pia ziko juu sana, one of them mentioned 15m na hakuna guarantee kuwa utafanikiwa. Je ni kitu gani kimebadilika siku hizi? Mbona zamani hiya matatizo yalikua sio mengi kama siku hizi?
Perfume toka ulaya na china.
 
Back
Top Bottom