Mwanaumeuyo mchambuz ni wa kike au wakiume??
Nilikuwa naskiliza kipindi chao cha michezo muda si mrefu(clouds FM) mchambuzi amesema kuwa Libya wanacheza na South Sudan leo na kutoa uchambuzi mrefu tu kuhusu huo mchezo! Mbona ratiba ya CAF inaonesha Libya wanacheza na South Africa leo? Nimesikiliza muda sijasikia masahihisho yoyote, ina maana hakuna ufuatiliaji wowote wa vipindi toka kwa uongozi ili kigundua tatizo na kulirekebisha??? Hata shafii dauda mzee wa UNDERDOGS alikuwa hafuatilii?
uyo mchambuz ni wa kike au wakiume??
Ivi hata na wewe umechoka kiasi hicho?Nilikuwa naskiliza kipindi chao cha michezo muda si mrefu(clouds FM) mchambuzi amesema kuwa Libya wanacheza na South Sudan leo na kutoa uchambuzi mrefu tu kuhusu huo mchezo! Mbona ratiba ya CAF inaonesha Libya wanacheza na South Africa leo? Nimesikiliza muda sijasikia masahihisho yoyote, ina maana hakuna ufuatiliaji wowote wa vipindi toka kwa uongozi ili kigundua tatizo na kulirekebisha??? Hata shafii dauda mzee wa UNDERDOGS alikuwa hafuatilii?
Wanacheza na south AfricaIvi hata na wewe umechoka kiasi hicho?
Kwa Mimi ambaye sijui kuhusu Mpira kwa maelezo yako nimeshindwa kujua Libya anacheza na nani?
Toa Boriti kwanza kwenye Jicho lako Mkuu.
Nilikuwa nasikiliza kiongozi siyo kwamba siipendi! Wewe kama unafikiri naichukia ni ww!Naziona chuki tu.
Clouds clouds clouds !
Mbona radio zipo nyingi tu.
Mnaiponda wakati kutwa kusikiliza clouds .
Vilaza nyie.