Ivi clouds wamechoka namna hii kweli???

Ivi clouds wamechoka namna hii kweli???

MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
4,491
Reaction score
3,996
Nilikuwa naskiliza kipindi chao cha michezo muda si mrefu(clouds FM) mchambuzi amesema kuwa Libya wanacheza na South Sudan leo na kutoa uchambuzi mrefu tu kuhusu huo mchezo! Mbona ratiba ya CAF inaonesha Libya wanacheza na South Africa leo? Nimesikiliza muda sijasikia masahihisho yoyote, ina maana hakuna ufuatiliaji wowote wa vipindi toka kwa uongozi ili kigundua tatizo na kulirekebisha??? Hata shafii dauda mzee wa UNDERDOGS alikuwa hafuatilii?
 
Mfupa hauna ulimi. Na ujue hio mechi haina mvuto kuzidi Stars vs Cranes ndio maana hawajarudiarudia kuisema. Wangerudia wangesahihisha tu. Duu unamaind vitu vidogo mno aisee
Nilikuwa naskiliza kipindi chao cha michezo muda si mrefu(clouds FM) mchambuzi amesema kuwa Libya wanacheza na South Sudan leo na kutoa uchambuzi mrefu tu kuhusu huo mchezo! Mbona ratiba ya CAF inaonesha Libya wanacheza na South Africa leo? Nimesikiliza muda sijasikia masahihisho yoyote, ina maana hakuna ufuatiliaji wowote wa vipindi toka kwa uongozi ili kigundua tatizo na kulirekebisha??? Hata shafii dauda mzee wa UNDERDOGS alikuwa hafuatilii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hao underdog hata sishangai

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Nilikuwa naskiliza kipindi chao cha michezo muda si mrefu(clouds FM) mchambuzi amesema kuwa Libya wanacheza na South Sudan leo na kutoa uchambuzi mrefu tu kuhusu huo mchezo! Mbona ratiba ya CAF inaonesha Libya wanacheza na South Africa leo? Nimesikiliza muda sijasikia masahihisho yoyote, ina maana hakuna ufuatiliaji wowote wa vipindi toka kwa uongozi ili kigundua tatizo na kulirekebisha??? Hata shafii dauda mzee wa UNDERDOGS alikuwa hafuatilii?
Ivi hata na wewe umechoka kiasi hicho?
Kwa Mimi ambaye sijui kuhusu Mpira kwa maelezo yako nimeshindwa kujua Libya anacheza na nani?
Toa Boriti kwanza kwenye Jicho lako Mkuu.
 
Wanacheza na south Africa
 
Naziona chuki tu.

Clouds clouds clouds !
Mbona radio zipo nyingi tu.
Mnaiponda wakati kutwa kusikiliza clouds .

Vilaza nyie.
Nilikuwa nasikiliza kiongozi siyo kwamba siipendi! Wewe kama unafikiri naichukia ni ww!
 
Back
Top Bottom