Babb-Babbjrtz
Member
- Feb 13, 2012
- 57
- 7
condom feki, ARV feki!
Wadau ivi tupeane ukweli kama kutumia Condom kunazuia ukimwi kweli, mi kuna wakati kwenye vile vimeo visivyoeleweka huwa natumia hata condom 2, ivi inaweza kusaidia kweli au hawa jamaa wanatudanganya tu, na inakuwa kuhusu hizi condom feki!!!

zinakinga kwa wastani wa asilimia 70, unajua kwa nini?
1.in any mass production huwa kuna allowed percentage ya defects, 2%
2. Utunzaji/uhifadhi mbaya wa condoms husababisha ziwe hafifu, 5%
3. Utumiaji mbaya kwa mfano kuivaa lakini ikaruhusu majimaji toka ukeni yakaingia kwa juu, 3% (hasa kwa ile sataili ya akina iiwe..! (kater....)
4. Kupasuka kwa condom, 5%, kwa wale wa tigo hii yaweza kufikia 10%
5. Zinginezo 2%
6. Condom feki hasa kwa nchi corrupt kama tz, 10%
tafsiri yake ni kwamba, kila unapojamiiana kwa kutumia condom mara 10, then mara 3 kati ya hizo huna uhakika wa full protection!
lakini inapasa kuwa makini wakati mwingine zinapasuka.halafu hatari nyingine ni kwamba wakati flani mwanamke anatloa majamaji yanayoweza kutiririka pembeni pembeni ya condom na kukugusa sehemu mbalimbali za mwili wako2tapotoshana hata lini....
Kondom zinauwezo wa kukukinga dhidi ya virusi vya ukimwi kwa asilimia mingi ukitumiwa ipasavyo...
Wadau ivi tupeane ukweli kama kutumia Condom kunazuia ukimwi kweli, mi kuna wakati kwenye vile vimeo visivyoeleweka huwa natumia hata condom 2, ivi inaweza kusaidia kweli au hawa jamaa wanatudanganya tu, na inakuwa kuhusu hizi condom feki!!!
Zinakinga kwa wastani wa asilimia 70
Asilimia 70 na 80 ndio nini?condom inakinga ukimwi kwa 85%
Kondomu haizuwii UKIMWI. Hata Nyerere alikufa kwa Ukosefu wa Kinga Mwilini, jee, ulisababisha na kutumia au kuto-kutumia kondomu?