Priority Course-inamkopo by Loan BoardNon-priority course-Haina mkopoHivi naomba mnieleweshe waheshimiwa, hizi course zinapobadilika wale walioelimishwa kwa course hizo hizo wanapelekwa wapi??....au Zinabadilishwa kwasababu serikali imekosa mkopo wa kuwapa wanafunzi wa course hizoo??....mfano mdogo ni kwamba mwaka huu kulikuwa na Bajeti kubwa ya Sensa na yamezalishwa Non-priority courses kibaooooo kwenye vyuo mwaka huuu.Ila huo ni mfano tu nilikuwa naudhania mimi nafikiri kuna majibu ya maswali yangu, naomba waheshimiwa mniambie!!.