Ivi Course ya Chuo inageukaje non-priority course wakati miaka yote ilikuwa priority course???..au.

Ivi Course ya Chuo inageukaje non-priority course wakati miaka yote ilikuwa priority course???..au.

Mdau Makini

Member
Joined
Sep 18, 2012
Posts
70
Reaction score
10
Priority Course-inamkopo by Loan BoardNon-priority course-Haina mkopoHivi naomba mnieleweshe waheshimiwa, hizi course zinapobadilika wale walioelimishwa kwa course hizo hizo wanapelekwa wapi??....au Zinabadilishwa kwasababu serikali imekosa mkopo wa kuwapa wanafunzi wa course hizoo??....mfano mdogo ni kwamba mwaka huu kulikuwa na Bajeti kubwa ya Sensa na yamezalishwa Non-priority courses kibaooooo kwenye vyuo mwaka huuu.Ila huo ni mfano tu nilikuwa naudhania mimi nafikiri kuna majibu ya maswali yangu, naomba waheshimiwa mniambie!!.
 
hapo kwenye red sijakupata mkuu...ila navyojua,hizo loan allocation depends much on what the goverment have at such a particular time,also on the demand of the country...mfano mwaka jana na juzi watu wa law walikua wana pata hata 100% lakin mwaka huu ni tofaut...inategemea nchi inataka watu gani katika maendeleo ya nchi hasa kwa muda husika....
 
"Ivi" ndio kitu gani? Kwa uandishi huo, una haki ya kukosa priority
 
Aliyekwambia Non Priority course hazina mkopo nani? Mbona mimi nilichagua Non Priority na nimepiga hela? Kukariri sio jambo jema. .
 
Vipaumbele hubadilika from time to time kulingana na mahitaji ya kipindi husika.
 
Huu mwaka wametuzuga tu, hakuna cha priority wala non priority. watu kibao wa priority na bado wametoswa huki vigezo vngne vya kupewa mkopo wanavyo. Non priority kibao wamekula shavu. Hii ilkua bahat nasibu tu.!!
 
Back
Top Bottom