Ivi furaha ya maisha ni nin?

Uko karibu na muumba wako?
Jaribu na hiyo, inawezekana hicho ndicho chakosekana!

About hao gals, kuna unayempenda? Kuna anayekupenda? Maana waweza kuwa na lots of beautiful gals lkn ukamiss LOVE

niko karibu na mungu wangu,nasali kama kawaida,nawasaidia wenye matatzo kadri ninavyoweza na kuhusu gals yupo mmoja nna feel sana,bt cjielewe nin moyo wangu unataka,yani sometime it like najifeel there is something missing in my heart and in my life in particular ila nimeshndwa kutrace ni nin!!asa najiuliza hii ni hali ya kawaida kweli.
 
Wana amani nyingi watafutao uso wa Bwana. (nimesahau ni kifungu gani ktk Biblia). Hili ndo la kwanza.

La pili, ni kuwa na afya nzuri.

La tatu, kupendwa na watu.
 
Raha ya MAISHA ni KUISHI that's all .
Bila KUISHI (ndiyo kupumua)
usingeandika hii Thread !
Usingekuepo juu ya dunia , na habari zako zisingekuwepo.

ok,thanx!!
 

asante kwa mawazo yako.
 
Kongosho,nimeyapenda maelezo yako kidogo.Nina jambo napenda kushare na wewe..Unajua kila mmoja wetu amekulia mazingira tofauti na kuaminishwa kuwa furaha ni hiki au kile.Tatizo linakuja kuwa utafanya kama ulivyoaminishwa halafu bado unahisi kuna kitu kinakosekana na furaha haiji.Amini usiamini asilimia kubwa ya watu hawajawahi kupata furaha,kama hawajawahi kupata furaha basi hawaijui.Wanachokiita furaha sio furaha.Namna ya kuipata furaha jaribu kupitia post yangu hapo juu!
 
Last edited by a moderator:
Furaha hailetwi kwa kuwa may be unakipato,gals wengi wenye mvuto or anything.Furaha ya maisha ni wewe mwenyewe unavyojiweka flexible na maisha yako.Gals wengi,does they make them u happy?..Have u tried to have 1gal whom u kan share ur life,problems,advice?have u?,au mvuto wao tu ndo unakuchanganya?..Does that gals help u in oneway or another?..u know,u must b wrong somewea..and who knows?its u..Nothing can make u happy,than urself..try to find what life is?,Share ur problems with pipo whom u trust kan help u and give u a gud advice..Personally,unaona hauna tatizo,but u have.hilo lakukosa furaha..Tena kuna mtu utakuta hana hata vyote hapo ulivyotaja,but he or she is happy,why?..Because of Life flexibility.
 
Pia badilisha mazingira nayo yanaweza kukusababishia ukose furaha..nenda hata mbuga za wanyama katembee,try to go out,mit different friends,Siyo everyday u mit those gals 2,inachosha u know.try to remove past pains if you have it.
 
kuishi kwa kujiamini, kulizika,kusaidia kwa wanaoitaji,kupendwa na kupenda
 
Hiyo vacuum kwenye moyo wako, inajazwa tu kwenye upendo usiotegemea kitu chochote in return! Believe me, ni ngumu sana kufikia hiyo kitu!

Just to remind you;
- unatakiwa kumpenda Mungu wako kuliko kitu chochote!
- pia unapaswa kumpenda Jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe!

Si wote tunaweza, hivyo vacuum kwenye mioyo yetu zipo tu!

Kusali kuna nguvu sana katika mambo mengi!
 
Wana amani nyingi watafutao uso wa Bwana. (nimesahau ni kifungu gani ktk Biblia). Hili ndo la kwanza.

La pili, ni kuwa na afya nzuri.

La tatu, kupendwa na watu.
i agree with u 70 perce bt kuna kitu kimoja umesahau kuridhika.

ukirdhika na sehem unayoish mfano uko kijijin ndan ndan au upo sehem ya fujo ka dar bt umerizika hapo ndo furaha ya utimia
 
kuishi kwa kujiamini, kulizika,kusaidia kwa wanaoitaji,kupendwa na kupenda

...Kuishi kwa uhakika, kuridhika na kiwango cha maisha yako, kusaidia kwa wale ambao wanahitaji msaada wa aina moja au nyingine toka kwako, kupenda na kupendwa.

Vaislay
 
Last edited by a moderator:
Kuishi maisha yanayompendeza Mungu. Ukimpenda Mungu utawapenda watu wote, wakupendao na wasiokupenda. Utakuwa na amani moyoni mwako na kuwa na furaha. Maybe hiyo ya 'nina galz weengi' ndo kinachokunyima furaha. Napata picha adhabu ya kuwapanga wasikutane, if u ever need a PA count me in (I charge premium)
 
Heshima kwako Senetor,
Hili ni swali la kifalsafa,unaweza jaza maktaba kwa mdahalo na maandishi utakayoandika juu ya mada hii.
Natumaini wadau tutajitokeza kwa wingi kujibu swali hili muhimu kwa kila mtu.

Life of reasoning is the happiest one - Socrates

kwa ufafanuzi onana na Dr.Lwaitama chuoni kwako hapo
 
Kama ni Mkristo, nakushauri ukasome kitabu cha Mhubiri chote toka aya ya kwanza mpaka ya mwisho utapata ufafanuzi mzuri kuhusu maisha.

Baada ya hapo chunguza Utabaini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…