Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
- Thread starter
- #21
Uko karibu na muumba wako?
Jaribu na hiyo, inawezekana hicho ndicho chakosekana!
About hao gals, kuna unayempenda? Kuna anayekupenda? Maana waweza kuwa na lots of beautiful gals lkn ukamiss LOVE
niko karibu na mungu wangu,nasali kama kawaida,nawasaidia wenye matatzo kadri ninavyoweza na kuhusu gals yupo mmoja nna feel sana,bt cjielewe nin moyo wangu unataka,yani sometime it like najifeel there is something missing in my heart and in my life in particular ila nimeshndwa kutrace ni nin!!asa najiuliza hii ni hali ya kawaida kweli.