Ivi hakuna mbadala wa Kunya?

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
nachukia sana kunya hasa ile harufu ya kinyesi

hakuna namna nyingine yoyote ya kutoa hayo masalia ya chakula ambayo hayajasagwa vizuri au kifupi mavi.
 
nachukia sana kunya hasa ile harufu ya kinyesi

hakuna namna nyingine yoyote ya kutoa hayo masalia ya chakula ambayo hayajasagwa vizuri au kifupi mavi.
Jenga choo cha kisasa mkuu
Utapenda kunya.
Wekamo jaccuzi ,flat screen ,full tiles afu kiwe chako peke ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…