Akilihuru
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 1,512
- 2,980
Kwanz kutanguliza salam kwa kila mwana JF mwenzetu alie humu.
Sasa ndugu wana jukwaa kaka yenu, mdogo wenu au rafiki yenu nina jambo langu ambalo limenisukuma mimi kuja hapa kuomba msaada na ushauri wa kitaalam kuhusu mambo fulan fulan ya kiafya.
Ndugu yenu nina mwaka mmoja katika ndoa, ila mpaka sasa mimi na shemej yenu bado hatujajaaliwa kupata mtoto. Japo tunahitaji kijana/ bint, ila ilo sio tatizo sana kwani tunaamini kua muda wa Mungu ndio muda sahihi, so ukifika muda huo kijana au bint yetu wa kwanza tutampata tu.
Sasa kilichonifanya niandike thread hii, ni kwamba miezi miwili sasa hii shemej yenu ana dalili zote za mimba. Before alikuwa hajawahi kuhisi kichefu chefu chochote ktk maisha yake lakin sasa huwa anahisi kichefu chefu kila wakati na sometimes hutapika kabisa. Mke wang ni mtu ambae alikuwa hawezi kula chakula chochote bila mchuzi kidogo pembeni lkn sasa ivi hata akiona tu mchuzi ndani ya bakuli usipokuwa makini kuwa kuutoa machoni au karibu yake anaweza kutapika hapo hapo, ameanza kuwa na ham ya kula udongo, vitu vyenye ladha kali kama vile limao, ndimu au embe mbichi.
Pia sasa ivi kwenye kula anataka ale vyakula vikavu vikavu mfano samaki awe wa kukaanga, nyama iwe imekaangwa pia. Kuhisi mchoko kila mara na dalili zingine ambazo wataalam husema ni za mimba. Lakini cha kushangaza kila tukipima mimba hola. Tulianza na home test mara 2 tukakuta hola kipimo kinakataa, nikampeleka hospital pia kipimo kinakataa, lakin pia cha kushangaza mwezi uliopita aliona siku zake kama kawaida. Sasa hapo sijui ni nini wakuu!!
Nimeingia huko YouTube nikakutana na mtu anaedai kwamba yye aliwahi kuwa na dalili za mimba kwa muda wa miezi mi3 mfululizo huku akiona siku zake, na vipimo vyote vya nyumbani na hospital vikionesha kuwa hana mimba. Ila anasema alipoingia mwezi wa 4 hapo ndo period yake ikakata na aliporudi hospital tena kupima akaonekana kweli ana mimba. Sasa hili kweli linawezekana wakuu, maana nafaham kwamba mtu mwenye mimba kamwe hawezi kuona siku zake, japo kuna wataalam wanasema sometimes mtu anaweza kuona perido katika ule mwez wa kwanz wa ujauzito na period yenyewe huwa ni ya muda mfupi tu baada ya pale hukata na kukoma kabisa mpaka atapojifungua, sasa hii ya huyu wa miezi mi3 hadi 4 imewezekanaje?
Je kwa mantiki hiyo mke wang na yeye anaweza kuwa miongoni mwa watu wa aina hii kweli?
Tafadhalini naomba msaada wa kiujuzi kuhusu swala hili. Mbarikiwe sana.