Ivi huyu Ni binadamu kweli[emoji848]

Mbona unapanic sasa kwani Ni wewe huyo kuuliza sio ujinga, ujinga ni kubaki na swali

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuuliza ni ujinga coz tafsiri ya ujinga ni kutokujua jambo fulani,ukisha lijua hilo jambo basi na ujinga wako unakua umeisha,

So,unapouliza jambo usilolijua ina maana una ujinga kwenye jambo hilo,

Neno ujinga sio tusi wala sio neno baya bali linawasilisha kutokujua jambo.
 
Nayeye ukimtumia picha yako atajiuliza "uyu cheusi mangala,black mamba" ni mtu kweli au gunia la mkaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…