Ivi huyu Ni binadamu kweli[emoji848]

Ivi huyu Ni binadamu kweli[emoji848]

Mkuu kuuliza ni ujinga coz tafsiri ya ujinga ni kutokujua jambo fulani,ukisha lijua hilo jambo basi na ujinga wako unakua umeisha,

So,unapouliza jambo usilolijua ina maana una ujinga kwenye jambo hilo,

Neno ujinga sio tusi wala sio neno baya bali linawasilisha kutokujua jambo.
Na asieuliza je??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zuckerberg is a Jewish surname of German origin meaning "sugar mountain".
 
Nayeye ukimtumia picha yako atajiuliza "uyu cheusi mangala,black mamba" ni mtu kweli au gunia la mkaa??

[emoji3][emoji3][emoji3] dah mbona mtafutano
IMG_3228.jpg
 
Kifaa Cha kukusanya taarifa za watu na kuziuza kwa jamii fulani I'll zije kutangaza ajenda zao
 
Ni Myahudi, katokea kwa jamii ya wateule.
 
Mkuu kuuliza ni ujinga coz tafsiri ya ujinga ni kutokujua jambo fulani,ukisha lijua hilo jambo basi na ujinga wako unakua umeisha,

So,unapouliza jambo usilolijua ina maana una ujinga kwenye jambo hilo,

Neno ujinga sio tusi wala sio neno baya bali linawasilisha kutokujua jambo.

"Kuuliza sio ujinga bali kutojua jambo na ukajua kwamba hujui jambo hilo na ukashindwa kuuliza hapo ndio ujinga"---- hiyo ndio maana ya "kuuliza sio ujinga".
 
Wateule wa kitu gani??!!

Wale ambao mumefundishwa kuwachukia sana.....mumejaribu kuwaua tangu enzi zile ila bado wanaitawala dunia kwa akili zao walivyobarikiwa....hehehe
 
Wale ambao mumefundishwa kuwachukia sana.....mumejaribu kuwaua tangu enzi zile ila bado wanaitawala dunia kwa akili zao walivyobarikiwa....hehehe

Jibu swali; wao ni wateule wa/kwa kitu gani ??!!
 
Back
Top Bottom