Ivi inawezeka ni Fitna kwa Mtoto wa Rais?

Ivi inawezeka ni Fitna kwa Mtoto wa Rais?

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Dunia saiv imekua kijiji... Vp kama index no. ya Mwanaasha Jakaya Kikwete ilisambazwa kwa siri ktk markin centers... Then akafelishwa na markers au compilers..?? Kumbuka Walim wana madai ..hvyo je yaweza ikawa ni fitna??
Nauliza tu. Msinipige mawe.
 
POROJO TU , mbona Jakaya Mrisho Kikwete mwenyewe alilamba pass pale UDSM, unashangaa nini kwa mtoto anaerithi kichwa na uwezo wa babake.
Salma , aliata Div IV pia, sasa utarajie nini ?
 
bora Ye kapata four ... wangapi wana zero .. btw kwa mtoto wa rais bro wake riz 1 he's loaded .. college degree will be just an accessory kwake.

mwanasha kafeli shule hajafeli maisha .. kazi kwenu ninyi mnaotegemea shule iwatoe kimaisha .. mtachonga sana tu ..
 
Hakuna fitna hapo,karithi za babake.babake mwenyewe kilaza iweje mtoto awe bright.
 
Like father like daughter, nafikiri hapa kuna genetical point of view! She reapt what she did sow!
 
Mbona munachanganya cheo,umaarufu na IQ.kila mtu anauwezo wake kiakili.Mwacheni bana, kwani inteligence ya nyerere amelithi nani ktk wanawe?
 
bora Ye kapata four ... wangapi wana zero .. btw kwa mtoto wa rais bro wake riz 1 he's loaded .. college degree will be just an accessory kwake.

mwanasha kafeli shule hajafeli maisha .. kazi kwenu ninyi mnaotegemea shule iwatoe kimaisha .. mtachonga sana tu ..

unajua aibu yake inakuja wapi, ni hivi shule wenzie wote wapata one na two haliafu yeye pekee amepata 4, huoni kama alikuwa zezeta wa mwisho? coz shule yenyee imetoka ten bora yaani ya pili kitaifa.
 
Back
Top Bottom