Kuna dada yangu amechaguliwa cozi ya kusoma ambayo hakuchagua kwa hiyo anashindwa sijui afanyaje,anaomba msaada wenu wadau. its is possible if you are meeting the requirements of the programe you want to shift to
kubadili course inawezekana ila kuna vigezo huwa wanavihitaji afu kama ile course anayohamia kuna nafasi na mambo mengine kama iyo course ipo ndani ya faculty moja
me ni miongoni mwa watu wanaotaka badili course nimechaguliwa political science and public admnistration lakini nataka niende education,sijui itawezekana?