Ivi inawezekana kubadili Program ukifika chuoni kwako

Ivi inawezekana kubadili Program ukifika chuoni kwako

nyota poa

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
152
Reaction score
7
Kuna dada yangu amechaguliwa cozi ya kusoma ambayo hakuchagua kwa hiyo anashindwa sijui afanyaje,anaomba msaada wenu wadau.
 
inategemeaa na chuo alichochaguliwaa,mara nyng vya private unaweza ukachenj kulingana na mahtaj na uwezo wako,ila govt wanabanaga,kama udom hauchenj
 
Kuna dada yangu amechaguliwa cozi ya kusoma ambayo hakuchagua kwa hiyo anashindwa sijui afanyaje,anaomba msaada wenu wadau.
its is possible if you are meeting the requirements of the programe you want to shift to
 
kubadili course inawezekana ila kuna vigezo huwa wanavihitaji afu kama ile course anayohamia kuna nafasi na mambo mengine kama iyo course ipo ndani ya faculty moja
 
me ni miongoni mwa watu wanaotaka badili course nimechaguliwa political science and public admnistration lakini nataka niende education,sijui itawezekana?
 
Back
Top Bottom