IVI INVISIBLEšŸ‘» NDO NANI?

stevewritter

Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
35
Reaction score
31
nauliza uyu jamaa anaitwa invisible ndo nani? afu nami nataka kua invisible
 
nauliza uyu jamaa anaitwa invisible ndo nani? afu nami nataka kua invisible
afu nami nataka kua invisible [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji13][emoji12][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Jei Efu simana nishuke
 
Ni mtu asie julikana Wala kutambulika,kajificha..na hagusiki kwa namna yoyote..Tena ana bonge la protector...hhaahaa natania bwana..
 
Mshana vipi ule uzi wetu wa gambe sijaufumua muda,nikilewa pombe ndio nakumbuka tu🤣
 
Mkuu umetukana "simana" wahaya watapita kukupa ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…