Ivi kazi hii ni ya nani

Ivi kazi hii ni ya nani

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Wote tunavaa nguo zinazo itwa nguo za ndani, boxer, nguo ndogo, chupi ni baadhi ya maneno yanayo tumika.

Swali: Ivi nani anawajibu wa kumFulia mwenzie nguo yake ya ndani. (mke /mume/HG ?).
 
Kwanini wajibu uwe wa mwingine tofauti na mvaaji???

Wajibu ni wa mvaaji....mwingine akifanya anasaidia na sio kwamba ni kazi yake!!!
 
mie ningependa sana kumuoshea mke chupi zake.....thats so hot!!!
 
Hakuna mwenye wajibu wa kumfulia mwenziwe
 
Kama ni mume wangu, namfulia kwa raha zote na nitafanya kazi zote za nyumbani, my biggest problem napenda mwanaume anayerudi nyumbani mapemaaa, saa 12 kiwa home basi mie najiona malkia
 
mi bwana wakati nikiwa mdogo niliambiwa ni mwiko kufua nguo ya ndani. hiyo ni kazi ya mke
 
Inatakiwa ya mume afue mke na ya mke afue mume!hii itazidisha mapenzi!
 
Kila mmoja afue yake mwenyewe. Hilo ni jukumu la mvaaji unless otherwise............!
 
Mbona housegirl hawapewi nafasi wakati ndoo wanawafulia kilasiku
 
Na ce ambao ha2vaagi inakuaje wakuu?
 
Back
Top Bottom