ivi kitanda umekumbuka kutandika leo?

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
mwanzoni nilifikiri labda ni mi peke yangu ambae huwa hadi nirudi usiku ndo ntandike (kwa sie bachalaz..lol)

ha! jana kwa bahat mbaya sana tumerud na shem mke wa bro toka ofisini..ile kuingia chumbani mi nakata kona ya toilet nikabahatika kwa bahat mbaya kukaona kachumba kao especialy 6 by 6 yao ............mamaaaa!! yaani sikuelewa kwa haraka haraka yale mashuka yalivyopandiana pale kitandani......net imesukumwa nusu kitanda;...mto mmoja upo chini mwingine una foronya ipo nusu...hii kali!!

hebu tuongee ukweli uwe umeoa/kuolewa au bachala...unavyokurupuka saa 11 unakumbuka kweli kutandika IPASAVYO? sio kuvuta vuta tu mashuka au ndo hadi wkend au jioni mkirudi makazini?

hahaha shemejiiiii 😛eep:
 
Nina miaka kadhaa sijawahi tandika kitanda.
Na kila siku nakikuta saafi, kuoa mama wa nyumbani raha kweli.

Oyee kwa wa mama wa nyumbani wote!
 
Nina miaka kadhaa sijawahi tandika kitanda.
Na kila siku nakikuta saafi, kuoa mama wa nyumbani raha kweli.

Oyee kwa wa mama wa nyumbani wote!

ilo nalo neno..ila kwa zama hizi za uchumi lets thnk twice
 
Siwezi ingia bafuni kuoga kabla sijatandika kitanda! nilifundishwa na Mama yangu tangu nikiwa darasa la 3 kuwa nimarufuku kuingia bafuni subui kabla hujatandika kitanda na hii alikuwa anatufanyia watoto wake wote wakike kwa wakiume.
 
mie ni mtandikaji mzuri wa kitanda, hata nikurupuie vipi nikiamka cha kwanza kitanda na program zingine zinaendelea, nadhani hii ni kutokana na nilivyolelewa, nakumbuka wakati nipo mdogo asubuhi mama lazima apitie rum hadi rum kucheki vitanda.

Kingine mie siwezzi kulalia shuka iliyo nyafu nyafu, na hata kama kuna kijimchanga kidogo kiasi gani nitamwamsha mwenzangu mpaka kikung'utwe, la sivyo siwezi kulala wala kuwa comfortable.....
 
We mmbea kweli. . .

Nwy nilitaka kutandika nikaambiwa niache niende na shughuli zangu. Ila kwa kawaida hua kabla sijatoka nje kupiga mswaki natandika kwanza.
 
Mmmh, na wewe umeoa??

We mmbea kweli. . .

Nwy nilitaka kutandika nikaambiwa niache niende na shughuli zangu. Ila kwa kawaida hua kabla sijatoka nje kupiga mswaki natandika kwanza.
 
Siwez kudanganya ni mara chache tu huwa natandika! Nakumbuka boarding nilitandika pale ukaguzi ulipoanza! Kwa uzoefu wanaume wengi ha2pendi au tunajisahau kutandika asubuhi..!
 
nakumbuka sana wakati nikiwa depo pale makutupora JKT, hata uamshwe usiku wa manane cha kwanza ni kutandika kitanda
 
Kuna wengine kitanda kinatandikwa for a week, hakivurugwi..... lol.

very true dada, kama mimi..nkishatandika j2 baada ya general cleanliness basi ndo mtolee mpaka j2 ijayo..
siri ni kuwa na mashuka makubwa yanayochomekeka vizuri hata ujigeuzeje halichomoki...alafu ukiamka badala ya kuanza kulinyoshanyosha..unatandika blanketi juu...yaliyo chini ni siri yako mpaka j2 utakapobadili mashuka....!!!!!
NB: it all depends na ndoto ntakazoota katikati ya wiki, the schedule may change as sh*t happens!!!
 
[Unakaa kwa Shemeji alafu unakua mbea tena?

QUOTE=mkonowapaka;3571627]mwanzoni nilifikiri labda ni mi peke yangu ambae huwa hadi nirudi usiku ndo ntandike (kwa sie bachalaz..lol)

ha! jana kwa bahat mbaya sana tumerud na shem mke wa bro toka ofisini..ile kuingia chumbani mi nakata kona ya toilet nikabahatika kwa bahat mbaya kukaona kachumba kao especialy 6 by 6 yao ............mamaaaa!! yaani sikuelewa kwa haraka haraka yale mashuka yalivyopandiana pale kitandani......net imesukumwa nusu kitanda;...mto mmoja upo chini mwingine una foronya ipo nusu...hii kali!!

hebu tuongee ukweli uwe umeoa/kuolewa au bachala...unavyokurupuka saa 11 unakumbuka kweli kutandika IPASAVYO? sio kuvuta vuta tu mashuka au ndo hadi wkend au jioni mkirudi makazini?

hahaha shemejiiiii 😛eep:[/QUOTE]
 
Welcome back Kid bro.... Missed you kwa saana!

B2T Ukilalia lazima utandike bana hata kama shuka lina fit namna gani, Ila kwa nyie guys wanaoishi peke yao I can understand that.....
 
Mi mpaka weekend ndo natandika labda neema anitembelee apao katikati ya wiki.
 
Labda wasiokula usiku, hata kama hawali , how?

Hizi ni kama zile unaishi peke yako, you are tired unarudi unaingia bafuni, unaangalia mabaki ya chakula na kupasha (kama hujabeba junk food); unawasha TV vuta remote karibu, vuta stool karibu na Lap top, browse JF, Mida ya news... TV. Then JF. Unasinzia... unashtuka tena JF....lol. Tena walala masaa matatu yalo baki unaamka kujiandaa na kazini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…