mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
mwanzoni nilifikiri labda ni mi peke yangu ambae huwa hadi nirudi usiku ndo ntandike (kwa sie bachalaz..lol)
ha! jana kwa bahat mbaya sana tumerud na shem mke wa bro toka ofisini..ile kuingia chumbani mi nakata kona ya toilet nikabahatika kwa bahat mbaya kukaona kachumba kao especialy 6 by 6 yao ............mamaaaa!! yaani sikuelewa kwa haraka haraka yale mashuka yalivyopandiana pale kitandani......net imesukumwa nusu kitanda;...mto mmoja upo chini mwingine una foronya ipo nusu...hii kali!!
hebu tuongee ukweli uwe umeoa/kuolewa au bachala...unavyokurupuka saa 11 unakumbuka kweli kutandika IPASAVYO? sio kuvuta vuta tu mashuka au ndo hadi wkend au jioni mkirudi makazini?
hahaha shemejiiiii 😛eep: