Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Ndio, au kama umekaribisha.
Hhhhmmm. . . Mie SIJAWAHI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, au kama umekaribisha.
Mi natandika deile, deki once per week!
Ni mkaka ndiyo, vp kama ningekuwa kinyume?Kama ni mkaka una haki kabisa ya kujiita "Naweza" lol
ilo nalo neno..ila kwa zama hizi za uchumi lets thnk twice
Siwezi ingia bafuni kuoga kabla sijatandika kitanda! nilifundishwa na Mama yangu tangu nikiwa darasa la 3 kuwa nimarufuku kuingia bafuni subui kabla hujatandika kitanda na hii alikuwa anatufanyia watoto wake wote wakike kwa wakiume.
Mi natandika wkend hadi wkend.
Afadhali umesema ukweli!
Na useme naniliu unazifua baada ya miezi mingapi?
Kuna wengine kitanda kinatandikwa for a week, hakivurugwi..... lol.
...leo umechungulia rum...kesho utapiga chabo.